K Kamura JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 508 Reaction score 52 May 27, 2011 #1 Kama mazingira ya kazi ndiyo hayo, mmiliki wa kiwanda cha Jambo Plastics awajibishwe.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 May 27, 2011 #2 Nimesikia hii habari kwenye redio nikawa najiuliza kwa nini walilazimishwa kuvaa kama manamba?
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,975 Reaction score 22,439 May 27, 2011 #3 photo?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 May 27, 2011 #4 Sasa hii si mngeweka kule kwenye ile nyuzi ya mwanzo kuhusu hiki kiwanda.
TUMBIRI JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 1,933 Reaction score 1,203 May 27, 2011 #5 NI Mchangiaji mzuri sana huyu kwa CCM wakati wa Kampeni so si rahisi serikali ikamwajibisha kirahisi. Ni sawa na Al adawi na Rostam!
NI Mchangiaji mzuri sana huyu kwa CCM wakati wa Kampeni so si rahisi serikali ikamwajibisha kirahisi. Ni sawa na Al adawi na Rostam!