Mmhh ingekuwa kwelii...

Mmhh ingekuwa kwelii...

Joined
Aug 2, 2014
Posts
43
Reaction score
7
JE UNAFAHAMU? Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono ni aina ya "Hermaphrodites",
Kwa maana wanamiliki jinsia mbili(kiume na kike). Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakaeruhusu kupandwa ndiyo atataga mayai.Huyo ndio konokono:: lakin embu fikiria: binadamu tungekua
"Hermaphrodites" na hizi akili zetu ingekuwaje? Tungetembeleana kweli? Mkeo ukimzingua anakuvizia usiku umelala anakupa mimba! Unacheka!, shauri yako shukuru Mungu...
 
Source... dstv, channel.. AMswahili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom