Mmhh!!babu mkono hapo unatafuta nini?

Mchere mchere!!??

Wala simaanishi mchele mchele (bwabwa/tagisha yai) ya NEY wa mitego,
maana yangu hapo mtoto mtamu mtamu si unajua tena radha ya mchele kaka, au hukumbuki enzi za kina machoko mchuzi mkono ku ubwa bwa?
 
Ni Kwa Nini wasichana wengi wa Kazi hutembea Na mababa wa matajiri wao..

Baba anatoka kwao, anakuja kumtembelea mwanae bongo, asubuhi mwanae akienda kazini Na mkewe/mumewe babu anabaki Na wajukuu Na msichana wa Kazi kutwa nzima.. Naishia hapo..!!
 
Wala simaanishi mchele mchele (bwabwa/tagisha yai) ya NEY wa mitego,
maana yangu hapo mtoto mtamu mtamu si unajua tena radha ya mchele kaka, au hukumbuki enzi za kina machoko mchuzi mkono ku ubwa bwa?
Umemjuaje kwamba ni mtamu mtamu?
Au unataka ugomvi na huyo mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…