wacha wewe mzima wewe!
nadhan ushakua mama wa makamu!
hellow wakuu.
yawezekana nikawa nimetoa supraizi kwa watu.
nimewamithi munooo. ila nimeamua kurudi baada ya kumaliza mizunguko yangu.
nomba kuwasalimia wakubwa ambao niliwakuta na nadhani bado wapo japo sijajua kama nawakumbuka wote.
kwanza salam kwa kaka mkubwa Mr Rocky, Zion Daughter[my.. ila sijua kama kapata..] Erickb52[nina wasiwasi nimesahau namba ya mwisho], ladyfurahia[mama mchungaji sina uhakika kama anaendelea na wokovu] Kongosho, Rutashobolwa[nahisi nimekosea spelingi], mary hunbig[salamu spesho], Donn, charminglady, Dena Amsi, Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy, afrodenzi, Teamo, Fidel80, Baba v, Fixed Point, Mzee wa Rula, Preta, paka Jimmy, Dark City, wise lady, Kaizer Bishanga, Preta gfsonwin Madame B[sijui kama anaexist na sacosi yake au amebadilika ila atakua amezeeka] The secretary[huyu atakua koko tayari] figganigga, Chocs[kashakua mmama huyu] Lily Flower[nadhani sasa hivi tumuite lily tree] Paw, Invisible[huyu bado namwogopaga] Nicas Mtei, Mentor[huyu anko najua mvi tayari]
n.k n.k n.k nadhani nikirudi nao watakua wamekuja
jamani eee maswali baadae mnanikaribisha maana hamuachi kuanzisha maoni mapya kama bunge la katiba :A S wink::A S wink::A S 11::A S 11:
wasalaaaaaam.
halafu nataka niulizie mwenyekiti wa naniliiiu... ndoa na maneno yanayofanana na hayo ni nani
nawasilisha.
stevoh karibu sana tulikumith mno
Nina mke anaitwa Dena Amsi na mchepuko unaitwa miss chagga hao usiwaguse na wakati huo huo namkiss Khantwe ambaye ni mke wa Ntuzu na Kasinde mke wa Tized na wakati huo huo Tyta naona anakuja kwa kasi kuwa na nyumba ndogo nyingi Baba V ambaye alikuwa mwenyekiti kashapotea kwa kuwa aalikamatwa na mke wa mtu na Arushaone mpaka sasa ahjui mke wake ni nani wakati alikuwa King Mswati wa Chit chat Preta amezidi kupendeza na kwa sasa amekuwa katoto kabisa wakati huo huo Chocs amemkana Erickb52
cc kiwatengu, Mndengereko, Tized, utafiti, Ntuzu
nimesema sitaki mathwali mbona huelewi??karibu mwaya nimekukumbukaje? ulipotelea wapi wewe?
hivi unajua kuwa Elyer amesimikwa kuwa PAROKO MKUU
wa jimbo la mashariki na kati upande wa mmu?
Umekosa vitu vya maana kweli ulikwenda kulina asali kigoma?
kati ya taarifa mbaya nilizozipata nji hizi kwamba kaka mkubwa unaanzisha sacoss yako ambayo naiona tayari ina wanachama zaidi ya watano na mwenyekiti na katibu.stevoh karibu sana tulikumith mno