Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Hongera mkuu kwa kula kimasihara
 
Wa aina hiyo wapo wengi sana kwa hiyo usishangae. Wengine wakimaliza kufikisha hiyo mitaji wanahama mkoa kabisa kisha wanaanzisha biashara kubwa na kuolewa rasmi kabisa na watoto.


Kuna mmoja namfahamu kabisa ana maduka na ameshaolewa na ana watoto.
lakini hata akishaolewa siku biashara zikikwama anakumbuka alikopatia mtaji. Huwa hawaachi. Hata akikopa benki au popote ana uwezo wa kutumia hiyo resource yake ku-manipulate wale maofisa na akapata zaidi ya mkopo.
 
Sitasema,ila nawaza kama asipohama na nikarudi nikamkuta,tutaishije hapo nyumbani?
Wewe unashindwaje kuishi na mpangaji mwenzio na vilevile mteja wake?? Inaonekana hauna kifua cha kuhold vitu sa sjui ukioa ndoa yako itaendeshwa na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…