Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

 
 
Ila wanaume wa dar jamani. Dah.
Koo likikereketa kunywa chai ya tangawizi. Acha umbea!

Dukuduku tu kukaa nacho moyoni nimeshindwa!Nahisi nikikuta kahama,naweza toa siri bila kudhamiria!Yaani huwa kila nikiongea na jirani niliyemwachia funguo huwa kinanikaba koo kusema ila najikaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…