Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Acha kabisa,

Pale ndo chimbo sasa[emoji23],


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale supu saa tatu ishaisha [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu ya maisha unaweza wewe mwenyewe ukaja kumuoa huyo dada..
Watu huzoea tabia zisizo kawaida mdogomdogo
Hadi wanajikuta wanashiriki na wao..
Zamani ilikuwa tukisikia kuna video ya ngono ya watanzania tunastuka..
Now tushazoea..



Mkuu una akili kubwa Sana, nimeikubal Sana para ya 2 na nikweli 100%, nikupe mfano halisi???
 
Alikufanyia bei gani kila kimoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
65000X30days=1,950,000/- aisee!! hakatwi heslb, income tax n.k. hiyo ni take home!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya pale ni kuvuka barabara kama umelewa,nilikuwa napata changamoto sana!Yaani baiskel na pikipiki ni hatari kuliko hata gari!
Watu wa Dar hawawezi kujua hii,usafiti maarufu hapo geita ni baiskeli,yaani 300 unachafua toka ubungo mwenge!
[emoji23][emoji23][emoji23], utaskia chukua daladala,,
Ujue baiskeli hyo, shida kubwa ya hapa mavazi gharama kubwa,, misosi flesh ila ndo yaleyale wali nazi utauskia tu,

Hata Tabora shinyanga,,napo ni ivo ivo usafiri wa baiskel ndo umeshamiri

Ukitembea unajionea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya pale ni kuvuka barabara kama umelewa,nilikuwa napata changamoto sana!Yaani baiskel na pikipiki ni hatari kuliko hata gari!
Watu wa Dar hawawezi kujua hii,usafiti maarufu hapo geita ni baiskeli,yaani 300 unachafua toka ubungo mwenge!
Jitahidi mkuu siku moja ufike nyarugusu, ukaone maduara watu wanavochimba dhahabu,,

Pia ufike na Katoro ukaone watoto wa kinyarwanda walivojaa [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nikitingwa nanunua papuchi,hilo sikatai!Ila mimi sikuwa mteja wake maana alipa bure kabisa!

Show yake ikoje hujasema ya kawaida au mteja unarizika nataka unipe namba yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…