Mmehamasisha Kilimo,Hakuna pa kuuzia!

Mmehamasisha Kilimo,Hakuna pa kuuzia!

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Kama hauna kazi nenda shamba ukalime,umemaliza degree yako usisubirie ajira nenda kalime inalipa sana.

Watu wameitikia mwaliko kwa moyo wote,sasa bei zinavoporomoka kwa kasi mpaka tunabaki midomo wazi.Mfano Vitunguu ilikua inasoma 150,000 na kuendelea msimu huu ila sasa hivi hata 80,000 yenyewe unakopwa ukipata shukuru.Ukiangalia jinsi ulivowekeza fedha na muda(mpaka nimekosana na familia siwapi muda ni shamba tu).TAHA wamehamasisha watu wawekeze kwenye green house sasa hivi wanawakimbia wamekosa pa kuuzia bidhaa zao.

Nini kifanyike?
 
Binafsi nlichojifunza kuhusu kilimo, hasa kwa mtu unaeenda kuanza kilimo ni muhimu sana ukafanya tafiti (research) ya kina, kuanzia na shamba linyewe changamoto wakati wakilimo mpaka Hali ya soko na linavyo badilika, hii itakupa undani na uwezo wakufanya maamuzi Kwamba ulime au Usilime. sikuzote hizi hadithi za hamasa kutoka kwa third parties mara oh uncle alilima nyanya akapiga 10m, mara oh matikiti sijui yanalipa na ww kwa bahati nzuri ukaskia zile stories za laki2 kuzaa mili10 ndani ya miezi mitatu ukakurupuka nakuanza kulima, oh my brother utaishia kunufaisha maduka ya kilimo, tulia na Fanya utafiti hata kama utakugharimu pesa ww Fanya maana ni heri ujua ukweli mapema kuliko majuto
 
Watu wamefanya tafiti, ila mwaka umekuja kivingine. Jamaa kuondoa fedha kwenye mzunguko na kuzificha BoT, hakuna aliyeweza kutabiri. Kwa wakulima tulio wengi, huu ni mwaka wa shetwani
 
Binafsi kilimo sikiamini kabisa au Kwa sababu kilikuwa ni laana? Yaani unaweza lima Mvua ikagoma,Na mvua ikinyesha basi inaweza kuwa kubwa sana ikaharibu na mazao yenyewe,na inaweza ikawa sawa mbegu ardhini zikatafunwa na Ngedere,Nyani,Ndege au Wadudu, Issue ikienda sawa bei inaanguka yaani ni ''Ndo Tabu''
 
Watu wamefanya tafiti, ila mwaka umekuja kivingine. Jamaa kuondoa fedha kwenye mzunguko na kuzificha BoT, hakuna aliyeweza kutabiri. Kwa wakulima tulio wengi, huu ni mwaka wa shetwani

Huyu aliyeondoa mzunguko wa fedha ana mwaka mmoja tu madarakani,wewe umelima miaka mingapi kabla yake na umefikia wapi?

Tatizo hata pasipo na siasa mnaleta siasa.Kuna ushauri nilitoa kuhusu malalamiko ya bei ya nyanya.Leteni mrejesho leo Dumila nyanya zinauzwa bei gani? Jiulize unataka kulima nini,kulima wapi na utauza wapi.

Kilimo hakiko mitandaoni kipo shambani.Wataalam wakulalamika naomba niwahoji maswali mawili tu nijibuni.

Machungwa yanayozalishwa kwa wingi Muheza Tanga yanauzwa nje ya nchi na raia wa Kenya na hili Serikali imehusika? je tulihitaji serikali itupe mitaji,maarifa,mbinu na mahali pa kuuza ili tutumie fursa hii? Mkijibu haya mawili nitaongeza maswali.
 
Kiongozi, mimi ni mkulima na ni mtoto wa mkulima. And yes, I do my homework. Mwaka jana wakati kama huu nimeuza kitunguu maji kwa 120,000 kwa gunia, huko huko kijijini. Na ilikuwa unaamua mwenyewe ni lini uuze, maana wanunuzi walikuwepo. Similar trends zimekuwapo kwa almost muongo mzima uliopita. Sasa jiulize, kama idadi ya watu ni ile ile, na possibly ikawa imeongezeka, consumption patterns zingebaki vilevile, unafikiri nini kingeshusha bei za mchele, vitunguu, nyanya, hoho, etc na kupandisha bei ya mahindi na maharage? Na kujibu maswali yako, hatukuwahi kuidai serikali it up mitaji na mbinu na masoko, ndo maana tulishaingia kwenye production kitambo . Tunachoidai serikali ni sera nzuri na rafiki kwa mkulima wa kawaida , ili na yeye afaidi matunda ya jasho lake. Kuondoa fedha kwenye mzunguko na kuingilia masoko (Rejea habari yabei elekezi ya sukari ), unaweza anza pata picha ya nini naongea .
 
Je kuna sera nzuri kwenye mahindi na mchele leo? nauliza kwa kuwa bei za mazao hayo zipo juu.Tatizo tunalikimbia,ulijiuliza nizalishe lini? tuombe MUNGU atupe uhai ifikapo mwezi wa pili na watatu tuletee taarifa ya bei ya vitunguu.
 
Kama hauna kazi nenda shamba ukalime,umemaliza degree yako usisubirie ajira nenda kalime inalipa sana.

Watu wameitikia mwaliko kwa moyo wote,sasa bei zinavoporomoka kwa kasi mpaka tunabaki midomo wazi.Mfano Vitunguu ilikua inasoma 150,000 na kuendelea msimu huu ila sasa hivi hata 80,000 yenyewe unakopwa ukipata shukuru.Ukiangalia jinsi ulivowekeza fedha na muda(mpaka nimekosana na familia siwapi muda ni shamba tu).TAHA wamehamasisha watu wawekeze kwenye green house sasa hivi wanawakimbia wamekosa pa kuuzia bidhaa zao.

Nini kifanyike?
Mimi katika utafiti wangu kwa ajili ya masomo ya masters katika chuo kimoja cha uingereza (uk) mwaka jana (2016) nilifanya utafiti kuhusu factors zinazo affect food price "Factors Affecting Food Price Inflation in Tanzania". Kitu nilichogundua based on the data i collected and analysed ni kwamba kuna factors zaidi ya 20 zinazo affect bei za mazao ila the most significant factors nilizopata ni hizi hapa:
a) Money supply - kiwango cha mzunguko wa fedha katika uchumi
b) GDP growth rate - yaani ukuaji wa uchumi, are we in growth or reccession
c) Rainfall - kiwango cha mvua kwa mwaka husika
d) Exchange rates - ina impact kwenye bei ya imported agro inputs
e) Fuel prices - bei ya mafuta coz ina direct effect on transportation costs, hence, bei
f) Population size - idadi ya watu, yaani demand
g) Food production - output, yaani supply
h) Food exports - how much are we selling outside the country
i) Food imports - how much we import from from outside the country

So it is very difficult ku predict bei za mazao thats why biashara ya kilimo inakuwa pasua kichwa. There are so many variables ambazo zinaweza kuinfluence bei za mazao. Inabidi ufanye research sana kabla ya kuamua ulime nini na wapi. I submit.
 
Kama umevuna mahindi njoo pm tufanye biashara, nachukua mzigo had I tani 25 awamu ya kwanza...
Kama ni vitunguu swaumu niambie nikuunganishe na jamaa yupo Burundi!
Mkuu biashara yako ya kudumu ni mahindi?
Nauliza kwa sababu mwaka huu ntakuwa na project ya kukusanya mahindi kama tani 100 kutoka vijijini na kuyaweka store kabla ya kuyauza kwa jumla. Ntahitaji mnunuzi wa jumla.
 
Huyu aliyeondoa mzunguko wa fedha ana mwaka mmoja tu madarakani,wewe umelima miaka mingapi kabla yake na umefikia wapi?

Tatizo hata pasipo na siasa mnaleta siasa.Kuna ushauri nilitoa kuhusu malalamiko ya bei ya nyanya.Leteni mrejesho leo Dumila nyanya zinauzwa bei gani? Jiulize unataka kulima nini,kulima wapi na utauza wapi.

Kilimo hakiko mitandaoni kipo shambani.Wataalam wakulalamika naomba niwahoji maswali mawili tu nijibuni.

Machungwa yanayozalishwa kwa wingi Muheza Tanga yanauzwa nje ya nchi na raia wa Kenya na hili Serikali imehusika? je tulihitaji serikali itupe mitaji,maarifa,mbinu na mahali pa kuuza ili tutumie fursa hii? Mkijibu haya mawili nitaongeza maswali.
Bla blah blah,kwanza unaongea tu and u knw shit about actual farming. Just a theoretical lad.Eti tafiti tafiti...Kwahiy unaweza fanya tafiti ukajua exactly bei itakuaje wakati wa mavun0.

Im very sure hujawafi kulima hata mchicha wewe
 
Mimi katika utafiti wangu kwa ajili ya masomo ya masters katika chuo kimoja cha uingereza (uk) mwaka jana (2016) nilifanya utafiti kuhusu factors zinazo affect food price "Factors Affecting Food Price Inflation in Tanzania". Kitu nilichogundua based on the data i collected and analysed ni kwamba kuna factors zaidi ya 20 zinazo affect bei za mazao ila the most significant factors nilizopata ni hizi hapa:
a) Money supply - kiwango cha mzunguko wa fedha katika uchumi
b) GDP growth rate - yaani ukuaji wa uchumi, are we in growth or reccession
c) Rainfall - kiwango cha mvua kwa mwaka husika
d) Exchange rates - ina impact kwenye bei ya imported agro inputs
e) Fuel prices - bei ya mafuta coz ina direct effect on transportation costs, hence, bei
f) Population size - idadi ya watu, yaani demand
g) Food production - output, yaani supply
h) Food exports - how much are we selling outside the country
i) Food imports - how much we import from from outside the country

So it is very difficult ku predict bei za mazao thats why biashara ya kilimo inakuwa pasua kichwa. There are so many variables ambazo zinaweza kuinfluence bei za mazao. Inabidi ufanye research sana kabla ya kuamua ulime nini na wapi. I submit.
Huwezi fanya research ikaku0ng0za kwenye kulima.labda uwe unalima wewe mwenyewe.utapredict vy0te ila huwez predict amnt 0f suppliers.
 
Hii nchi inabidi tuibadilishe sisi wenyewr wakulima maana serikali imeshindwa sana kwenye kilimo
 
Kiongozi, mimi ni mkulima na ni mtoto wa mkulima. And yes, I do my homework. Mwaka jana wakati kama huu nimeuza kitunguu maji kwa 120,000 kwa gunia, huko huko kijijini. Na ilikuwa unaamua mwenyewe ni lini uuze, maana wanunuzi walikuwepo. Similar trends zimekuwapo kwa almost muongo mzima uliopita. Sasa jiulize, kama idadi ya watu ni ile ile, na possibly ikawa imeongezeka, consumption patterns zingebaki vilevile, unafikiri nini kingeshusha bei za mchele, vitunguu, nyanya, hoho, etc na kupandisha bei ya mahindi na maharage? Na kujibu maswali yako, hatukuwahi kuidai serikali it up mitaji na mbinu na masoko, ndo maana tulishaingia kwenye production kitambo . Tunachoidai serikali ni sera nzuri na rafiki kwa mkulima wa kawaida , ili na yeye afaidi matunda ya jasho lake. Kuondoa fedha kwenye mzunguko na kuingilia masoko (Rejea habari yabei elekezi ya sukari ), unaweza anza pata picha ya nini naongea .
hvo vitu ulivotaja kama vitunguu,hoho na nyanya vimekua overproduced kuanzia mwaka ulopita mfano maeneo nnayolimia Mimi ilikua ngumu kukuta zaidi ya watu 20 wamelima hoho na nyanya kwa kipindi kama hiki lakini now ni karibu kila mtu amelima hvo vitu,ukija mchele na maharage ni seasonal ko upatikanaji wake sku zote ikifika muda kama huu bei ya maharage na mchele hua havikamatiki
 
Uwezo wa watu ukipungua watatumia kidogo. Mkulima atauza kidogo na bei itapungua . vitu kama matunda, mahindi ya kuchoma na kama hivi watu hutumia kama ziada tu. Nenda Ruvu Mtoni uulize wauzaji watakuambia wanauza kidogo sana.
Hali ikiwa ngumu watz wanapunguza hata kula pengine huishia mlo mmoja tu kwa siku.
Sera za kilimo ni lazima ziwepo kubwa katikahizo sera ni elimu na masoko. Mkulima anatakiwa alindwe hata kumfidia. Ni ujinga sana kuchekelea mulima anpopata hasara na kuksa kimya.
Bado kilimo kinaweza kulikomboa taifa na watu wake. Tatizo ni sera nzuri.
Haya mambo ya utafiti ni serikali. Ni ya kisera zaidi. Wakulima wadogo wa eka moja watatafiti nini.
Hao ndo wengi na wanapata hasara sana. Israeli ina harsh climate lakini inalima sana matunda sisi tuna hali nzuri lakini matunda yanaoza. Hatuna sera madhubuti ya kumsaidia mkulima. Labda ni kwa vile serikali haileti hayo majanga ya bei!
 
Mimi katika utafiti wangu kwa ajili ya masomo ya masters katika chuo kimoja cha uingereza (uk) mwaka jana (2016) nilifanya utafiti kuhusu factors zinazo affect food price "Factors Affecting Food Price Inflation in Tanzania". Kitu nilichogundua based on the data i collected and analysed ni kwamba kuna factors zaidi ya 20 zinazo affect bei za mazao ila the most significant factors nilizopata ni hizi hapa:
a) Money supply - kiwango cha mzunguko wa fedha katika uchumi
b) GDP growth rate - yaani ukuaji wa uchumi, are we in growth or reccession
c) Rainfall - kiwango cha mvua kwa mwaka husika
d) Exchange rates - ina impact kwenye bei ya imported agro inputs
e) Fuel prices - bei ya mafuta coz ina direct effect on transportation costs, hence, bei
f) Population size - idadi ya watu, yaani demand
g) Food production - output, yaani supply
h) Food exports - how much are we selling outside the country
i) Food imports - how much we import from from outside the country

So it is very difficult ku predict bei za mazao thats why biashara ya kilimo inakuwa pasua kichwa. There are so many variables ambazo zinaweza kuinfluence bei za mazao. Inabidi ufanye research sana kabla ya kuamua ulime nini na wapi. I submit.
Thamani ya Mazao??
 
Back
Top Bottom