Desert Voice
Senior Member
- Feb 26, 2018
- 159
- 410
Mmea hapo ukiwa umesinyaa kabisaNipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini hadi aliponiaminisha.
Picha hapo inaonyesha huo mmea baada ya kuona wachawi usiku umesinyaa kabisa,hadi asubuhi ulikuwa bado umesinyaa.
Picha nyingine hapo ni mchana mmea umerudi ktk hali yake na kutulia kabisa.
Nimejaribu kumdadisi kasema hawezi kuniambia kwa sababu mimi ni mlokole kama nataka kujua mengi juu ya mmea huo niingie ktk ushirikina 100%.
Pamoja na ulokole wangu napenda pia kujifunza mambo mengi kuhusu hii Dunia ya kutisha, wajuzi wa mambo kina mashana jr na wengineo njooni hapa kwa ufafanuzi zaidi. View attachment 774534View attachment 774535
Hapo baada ya kuona wachawi usikuMmea hapo ukiwa umesinyaa kabisa View attachment 774537
Hapo baada ya kuona wachawi usiku
Yapo kijijini kwetu mimea hiyo. Ikiguswa inasinyaa baadae inashamiriUliwaona hao Wachawi Mkuu au umeamua kuamini tu ?
Kwani kusinyaa na kushamiri kunaleta uhalali gani wa kuamini kweli uliona Wachawi ?
Yapo Majani Porini humo ukiyagusa yana sinyaa ,na kushamiri baadae ..
Yeremia : Mlango 33Desert Voice usiache neema ya wokovu ikupite. Muombe Mungu akupe macho ya rohoni Na utaona mengi makubwa ya ajabu
Mkuu.....inawezekana huo mmea ulinenewa maalum kwa kufanya hivyo....lakin ukienda porini.....ukichek mmea kama huo unakuta hauna nguvu hizo...hadi manuizi maalumNipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini hadi aliponiaminisha.
Picha hapo inaonyesha huo mmea baada ya kuona wachawi usiku umesinyaa kabisa,hadi asubuhi ulikuwa bado umesinyaa.
Picha nyingine hapo ni mchana mmea umerudi ktk hali yake na kutulia kabisa.
Nimejaribu kumdadisi kasema hawezi kuniambia kwa sababu mimi ni mlokole kama nataka kujua mengi juu ya mmea huo niingie ktk ushirikina 100%.
Pamoja na ulokole wangu napenda pia kujifunza mambo mengi kuhusu hii Dunia ya kutisha, wajuzi wa mambo kina mashana jr na wengineo njooni hapa kwa ufafanuzi zaidi. View attachment 774534View attachment 774535
Sasa unauliza au unashangaa Mzee?Dunia ina mambo haswaa. Mti una macho na unaona