ulipotea sana mkuu
chali wangu nipe kituuu cha arusha,ili majita wangu niweze kuwa amshaa....cha tarime roriaa mapanga kwa sanaaaa,ila cha chugaa full ma amanii mbabaa,Unataka cha Arusha au cha Tarime?
Inategemea unaivuta kama kiburudisho au ikusahalishe shida.........Duh! Kumbe bangi inabagua! Mbona wengine inawatia uchizi?
Walikuwa wanaivuta ili iwapotezee mawazo ya kimaisha...ambapo stimu ikiisha wanajikuta wapo kwenye maisha yale yale....kwa hiyo inawabidi wavute tena na tena bila mpangilio mpaka wanakuwa machizi....Kwa hiyo waliochizika walikuwa wanavutaje?
chali wangu nipe kituuu cha arusha,ili majita wangu niweze kuwa amshaa....cha tarime roriaa mapanga kwa sanaaaa,ila cha chugaa full ma amanii mbabaa,