Mme hajiwezi kwenye tendo la Ndoa

ebu ajaribu kupiga VIAGRA za kutosha aone kama UKUNI haujasimama wenyewe.
 
Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.

wamejaribu kwenda hsptl majibu Dr kasema kuna mfupa kwenye uti wa mgongo umesimama na watakiwa kulala na hiyo inatokana na kukaa kwenye kiti mda mrefu.hivyo yapaswa afanyiwe mazoezi.na wameshajaribu kufanya lakini hakuna nafuu yoyote ile.


hapo kwenye bold ndio sipaelewi nafikiri watalaam wa medicine watatueleza zaidi.
 
Kama ndoa ni ya kidini mmeshatafuta suluhisho la kidini? Aombewe sana huyo mtu labda huko kusini kuna mahali alipita (muulize vizuri). Siyo mnawahi tu "aende tanga wiki mbili..." ......"enyi wenye imani haba...."
 
Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha hali hii. 1. Kuugua kwa magonjwa mbalimbali kama ugonjwa wa moyo, ugonjwa wa kisukari, matatizo ya neuro (neurological problems), 2. upungufu wa hormones pamoja na matumizi mabaya ya madawa. 3. Halikadhalika inaweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia (psychological problems) ambapo uume hushindwa kusimama kwa sababu ya mawazo au fikra fulani mbaya kuhusu partiner wake.

Matatizo haya yanaweza kutibiwa kwa kutibu chanzo, kwa mfano kuondoa upungufu wa madini ya potassium. halikadhalika anaweza kutibiwa kwa kupewa madawa ya aina ya PDE5 inhibator (sildenafil au viagra). Au anaweza kutibiwa kwa njia ya penile prosthesis, penis pump au njia kama hizo. Mu-encourage asikate tamaa ajaribu kumwona daktari bingwa wa masuala hayo.
 

Dawa ipo ya mitishamba,aandae Tshs 600,000'atarudi kwenye hali yake ya kawaida.Mimi mwenyewe jamaa yangu alikuwa na tatizo hilo,sasa yuko fit baada ya kutumia hii dawa ya mitishamba.If interested piga 0754 856277;nipo Urafiki flats.
 
naomba ni PM nitamkutanisha na mtu ninayemfahamu ana clinic ya dawa za miti shamba anaweza kukusaidia vyema saana
 
Unajua sasa hivi haya matatizo yamekua mengi sana....mi nahisi sie ambao tuko fit baadae tutakua lulu....aiseee
 

hahahaaa dady umenipa rraha
na wale wala miraa ujumbe huu uwafikie!!
 
wanaume wenzangu tuache kunywa mi valuuu....
 
mna-miss pointi ya msingi...".mwisho wa siku yule mme akahamishiwa ki kazi mikoa ya kusini"
 
 
Aisee huyo dada acwe na shaka ongea na wa2 uvae via2
 
Kwakwel kunamganga m1 hv niliona bango lake wakat napta maeneo ya magomen pale anatibu mambo hayo ushaul wang ila anywe kdum cha mchuz wa pweza lita 20 kwa cku atapona.
 
Kwakwel kunamganga m1 hv niliona bango lake wakat napta maeneo ya magomen pale anatibu mambo hayo ushaul wang ila anywe kdum cha mchuz wa pweza lita 20 kwa cku atapona...au atafutiwe dem wa kihaya au makonde nguv ztalud tena.
 
Pole kwa mgonjwa na mke kwa uvumilivu, fuaten ushauri wa wanajamvi huku mkimwomba Mungu mtafanikiwa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…