Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Habari zenu wana JF.
Nina Rafiki yangu wa kike anaomba ushauri pls naomba tujaribu kumsaidia.
Huyu dada kaolewa na wamebarikiwa mtoto mmoja wa umri wa miaka 5.
yeye na mme wake Wote waajiriwa serikalini.Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.mwisho wa siku yule mme akahamishiwa ki kazi mikoa ya kusini.kule yupo sasa ni mwaka na miezi kadhaa.
lakini huwa anakuja kutembelea familia yake hapa dar.
Tatizo lilianza taratibu ikifika ule mda wa tendo la ndoa mme hana nguvu hata ya kurudi tena.ikaaendaa kwa mda mrefu sana mwisho sasa imekuwa haisimamimi kabisa.yaani hata akija wanaishi kama kaka na dada.
wamejaribu kwenda hsptl majibu Dr kasema kuna mfupa kwenye uti wa mgongo umesimama na watakiwa kulala na hiyo inatokana na kukaa kwenye kiti mda mrefu.hivyo yapaswa afanyiwe mazoezi.na wameshajaribu kufanya lakini hakuna nafuu yoyote ile.
Sasa yapata mwaka huyo shosti yangu analalamika hajawahi kufanya tendo la ndoa na ukiangalia ndo ana umri wa 32 sasa bado anahitaji kupata watoto.anaomba ushauri wenu tafadhali kama kuna namna ya yeye kupata dawa ya mmewe kuweza kufanya kazi tena.mme wake ana umri wa 38.
pia kuvunja ndoa hawezi maana ni ndoa ya Kiroman na pia hofu ya kwamba watu watasema kamkimbia mwenzie pindi ana matatizo.
Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.
na huu ujumbe uwafikie wanaume wenzangu woteeee mnaoendekeza pombe kama maji ya sharubati...
Mitalimbo yenu ipo hatarini kulala dorooo mazima na isiamke tena...itabakia historia tu kuwa ulikuwa na uwezo wa kusimamisha...
Binafsi naamini huo ushauri waliopewa huko hospitali ilikuwa ni kumtia faraja tu huyo mwanaume kuwa ipo siku atapona...
Usihofu ni ushauri tu maana ulivyo-like haraka haraka. Hahahahahahaaaaaaaaa..Ni-pm namba yake ya simu nimuelekeze huyo muathirika sehemu ya kumpeleka mumewe akapate matibabu.