safi kabisa .hata ingekuwa ni uko mjini bado hilo pishi limekwenda shule.Ila sema dokta amesema niache au kupunguza red meat.hapo badala yake si inawezekana kuweka kuku au samaki?
Huwa napaka mafuta ya kupikia mikono haishiki utomvu ila kiukweli aliegundua ndizi ni chakula ana dhambi sana. Nyumbani kwetu wanazipenda ila mimi kwa kweli hapana.