Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,888
- 67,338
WelcomYummy 😋 😋
Ni kujipenda tyu ☺️Welcom
safi kabisa .hata ingekuwa ni uko mjini bado hilo pishi limekwenda shule.Ila sema dokta amesema niache au kupunguza red meat.hapo badala yake si inawezekana kuweka kuku au samaki?Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme
Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM
View attachment 3229480
Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa
View attachment 3229482
Nikamenya ndizi na kukata kabisa
View attachment 3229483
Baada ya nyama kuiva nikaitoa nikachanganya na ndizi kwenye sufuria kubwa nikaweka maji kidog tu ya kuivisha ndizi
View attachment 3229484
Baada ya hapo niliweka supu ile ya kwanza nilio itenga baada ya ndizi kuiva lakini
View attachment 3229486
Baada ya hapo nikachukua nazi na kuweka kidogo tu sikutumia yote
View attachment 3229487
Baada ya hapo kutokota vizur ilikuwa ivyo
View attachment 3229488
Nikaipua nakuweka kwenye poti mlo uhu sikutumia kabisa mafuta niite mchemsho wa ndizi ivyo
View attachment 3229489
Ndio ivyo ilikuwap
Mchemsho mtamu wewe hawajaandikiwa watu wa sukari na pressureUna puresha au sukari,mimi muchemusho hapana.nataka rositi
Yes,safi kabisa .hata ingekuwa ni uko mjini bado hilo pishi limekwenda shule.Ila sema dokta amesema niache au kupunguza red meat.hapo badala yake si inawezekana kuweka kuku au samaki?
Maisha mafupiNi kujipenda tyu ☺️
Ahaha ache wewe acha zako bachiTuzo ya mpishi bora ikienda kwa mwingine nitajua Maxence Melo nae anapokea rushwa 😃😃
Hapana mda mwingine unakula mchemshoUna puresha au sukari,mimi muchemusho hapana.nataka rositi
Watu wambeya utawajua tu 😂msosi mtamu huo sasa hapo weka na parachichi