Walioshika Mpini wako tayar kusimamia chao kwa gharama yeyote maana hamna kitu kinatisha kama njaa
Swali ni moja tu sisi ambao tunataka mabadiliko je tupo tayari kumaanisha kusimamia tunachohitaji kwa ajili ya kesho yetu
Wa tz ni waoga na wasiothubutu kufanya kitu cha tofauti pamoja na kero zote hizi bado watu wameona kama jambo la mabadiliko mpaka waje wazungu ndo watusaidie
Tutabaki tunashuhudia maigizo ya vya vya siasa mpaka lin