Mlipuko mkubwa watikisa Mogadishu

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
​
Habari kutoka Somalia zasema mshambuliaji wa kujitoa muhanga amejilipua ndani ya gari na kuwauwa watu 12 na kujeruhi wengine wanane.
Mlipuko huo umetokea nje ya makao makuu ya maafisa wa usalama .
Mwandishi wa BBC anasema kuwa waliofariki ni maafisa usalama na wengine raia wa kawaida waliokuwa katika mkahawa karibu na hapo.
Kumekuwa na ongezeko la mashambulizi huku vikosi vya nchi hiyo vikipambana na wanamgambo wa al shaabab.

chanzo:Mlipuko mkubwa watikisa Mogadishu - BBC Swahili - Habari

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…