Mlipeni hela yake jamani,agh

Wakuu natumia nokia 112, waweza ku igoogle inalingana na tundu moja la pua ya Le mutuz. Haiwez ku zoom hembu nisaidien hio picha inazungumzia nini na aliyesimama ni nana
 
Wakuu natumia nokia 112, waweza ku igoogle inalingana na tundu moja la pua ya Le mutuz. Haiwez ku zoom hembu nisaidien hio picha inazungumzia nini na aliyesimama ni nana
Siyo lazima kilakitu uone. Vingine we potezea tu
 
Fundi maiko siyo wa kudhulumiwa kiholela aisee![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nimemtafuta sana fundi maiko.
Awamu hii haonekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…