Sioni kitu.INAMAANA HUONI CHOCHOTE DADA?
Hahahah mleta thread atakuwa kapitia kwa mshana junior yule mtaal wa tiba asilia....Hii hatar sana inaonyesha jinsi fikra zetu zilivyo..... Mtu anaweza kuwe picha yenye ujumbe mzur lakn asiwepo mtu wa kutoa koment ila mtu hajaweka picha yoyote lakn wachangiaji wameivamia kwa wingi wakat hamna chochote....
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] Humuoni huyo jamaaMkuu umeweka nini mbona sioni kitu.