Mliowahi kutumia hizi sufuria zinavuja?

Mliowahi kutumia hizi sufuria zinavuja?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki umenichekesha.
Usijali shem.

BTW heri ya mwaka mpya shemeji.
Ndugu yako aliniletea kipande alitoka nacho kwenye "hepibesidei tu yuu" ya rafiki yake, msukuma wangu akanishauri ninywee chai asubuhi, hakika ilikuwa tamu sana na ulaini wake sasa weee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mungu ni mwema, tusichoke kumuomba ili aendelee kutulinda pasi kuchoka kama ilivyo kuwa awali.
Kila lenye heri likawe upande wako bila kukoma.
 
Hizo zako tu ni mbovu

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shukrani shemeji[emoji120]
 
Ndugu yako aliniletea kipande alitoka nacho kwenye "hepibesidei tu yuu" ya rafiki yake, msukuma wangu akanishauri ninywee chai asubuhi, hakika ilikuwa tamu sana na ulaini wake sasa weee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mungu ni mwema, tusichoke kumuomba ili aendelee kutulinda pasi kuchoka kama ilivyo kuwa awali.
Kila lenye heri likawe upande wako bila kukoma.
Nyinyi watu acheni kuchekesha wenzenu makusudi [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
Haziko designed kwa mixture nyepesinyepesi.... Hizi kwa kubake thick batters
Sasa unapojikuta unataka ktumia kwa mchanganyiko mwepesi inabidi iweke alumium foil kwenye kitako cha ndani kuzuia leakage.
Ntatumia huo mbadala. Ni nzuri tatizo upenyo tu

Hivi hizo zako ni za India?

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
Maelezo yao
Hivi hizo zako ni za India?

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
Screenshot_2019-01-20-20-32-58.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom