Mliowahi kusoma CBG pitia hapa

Mliowahi kusoma CBG pitia hapa

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,997
Reaction score
17,153
Kwa waliosomea CBG ni kozi gani nzuri kwa sasa ya kusomea, najua hali inaweza kubadilika wakati wowote ila ni vyema mngetueleza kama ungemaliza CBG ni kozi gani ungeisomea kwa sasa.
 
Ondoa MD na pharmacy. Hizo cbg hagusi.

Kwa sasa cbg ni veterinary medicine, nursing, ukunga na nyinginezo za afya na kilimo!!

Pia anaweza soma geology (except engineering geology), architecture, land valuation, kozi za za mazingira (except env engineering)..
 
apply BVM(bachelor of vertinary medicine) SUA 5yrs but inabid uwe vzr maana inaitaj Moyo
 
We nenda kasome ufaulu kwanza then ndo uje uombe ushauri wakati unajua matokeo yako yakoje
 
Back
Top Bottom