Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Wakuu, kwa wale mliowahi kuomba na kupata mkopo kupitia diploma tuambizane, je twaweza kupata?
Wakuu kwa wale mliowahi kuomba na kupata mkopo kupitia diploma tuambizane jee twaweza kupata?
Mkuu una taarifa yoyote second batch wanatoa lin?Batch ya kwanza nilikosa sijui hii second maana mwaka huu changamoto
Mkuu una taarifa yoyote second batch wanatoa lin?
Mkuu una taarifa yoyote second batch wanatoa lin?
Kozi gani?Batch ya kwanza nilikosa sijui hii second maana mwaka huu changamoto
Asante mkuuOct 25
kozi gani?
Batch ya kwanza wa Diploma walipata pia kuna jamaa zangu walipata.watugee tu hiyo mikopo tukasome, ila sisi tunaotokea diploma, ukipata inakuwa ni zaidi ya bahati
Wapo wengi tu mimi mmoja wapo nimekula 95% jamaa yangu 100%.ni wachache sana, sana...
Ok utapta mkuuHealth system management, (MU)
wakitoa watasema ili wahusika na raia tufahamu..Hivi hii batch ya pili wataitisha tena media mbalimbal au watatoa direct kwenye web yao na profile za wanufaika?
Mpaka muda huu?wakitoa watasema ili wahusika na raia tufahamu..