Mliowahi kuishi vijijini

Mliowahi kuishi vijijini

Viti navichukia sana vilikuwa vinaniangusha kwa nyuma.nikawa baviogopa.
 
Mleta uzi ulivyosema cha mababu zetu wa zamani mie nikadhani miaka ya 1940 kushuka chini, mbona mzigo mpaka sasa upo hata kwa watu wa town vipo sema hii miaka ya 2000 na 90 mwishoni ndio vimepotea kutokana na mchina kuturahishia kazi kwa kuleta kila kitu disposable
 
Umenichekesha na kunikumbusha mbali sana mkuu, kwani hayo uliyoandika ndo yaliyokua yakinikuta hata mimi. Mbaya zaidi kuna wakati kiliniangusha tukiwa tunaota moto wa mkaa kwenye kigae na kunifanya niungue sehemu za magoti, bahati nzuri kulikua na wakubwa na kwa sababu nilikua mtoto makovu yake kwa sasa yanaonekana kwa mbali sana.

Pole mkuu, hicho ilikuwa ukikalia ni lazima uwe na nidhamu, unless kila mara utakuwa unaanguka nacho.

Tena bahati mbaya ukianguka nacho kwa nyuma kinaweza kukufunika
 
Kwetu vinaitwa "mpando" sijui kwa kiswahili
 
Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri Za Shamba Je Kilikuwa Kinaitwaje Mie Sina Kumbukumbu Na Jina Lake

dingi hicho kiti anacho mpaka leo ila akikaa lazma atafute sapoti ya ukuta ndipo aegamie.
 
home kimebak kimoja sema kimezeeka sana.....kina kama 15yrs had ssa..
 
Back
Top Bottom