Kiti cha uvivu.......siju kwanini tulikiita hivyo???
Pole Elli;
Una miaka mingapi weye?? Kiliitwa kwa lugha yetu hivi; Kitima kya ufifu. Si kweli walikiita ka ulivyosema.
Kiti cha uvivu.......siju kwanini tulikiita hivyo???
mpando ( ikikota kya mpando-kinyakyusa)
Kiti cha uvivu.......siju kwanini tulikiita hivyo???
kiti kimeniangusha sana iko nikiwa mdogo,ukikaa kwa mbele(kwa ajili ya ufupi)kinabinuka then kile kiegamio kinapiga kichwani!umenikumbusha mbali sana mzee!
Kinyoosha mgongo kijijini kwetu
sisi kwetu huita kinyoosha "kiuno" .
kiti kimeniangusha sana iko nikiwa mdogo,ukikaa kwa mbele(kwa ajili ya ufupi)kinabinuka then kile kiegamio kinapiga kichwani!umenikumbusha mbali sana mzee!
Mkuu Mbna Upo Kama Hauna Uhakika Nacho