Mliowahi kuishi vijijini

Mliowahi kuishi vijijini

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,584
Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri Za Shamba Je Kilikuwa Kinaitwaje Mie Sina Kumbukumbu Na Jina Lake
 
Kiliitwa kiti...

Baada ya kutumika hukunjwa na kuwekwa ndani...
 
Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri Za Shamba Je Kilikuwa Kinaitwaje Mie Sina Kumbukumbu Na Jina Lake

mpando ( ikikota kya mpando-kinyakyusa)
 
Kiti cha uvivu.......siju kwanini tulikiita hivyo???

Mkuu KITI cha UVIVU kina kitambaa katikati hivyo mgongo mzima huwa kwenye hicho kitambaa. Hiki sio kiti UVIVU. Sisi tulizoea kukiita kiti(ila sio cha uvivu)
 
Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri Za Shamba Je Kilikuwa Kinaitwaje Mie Sina Kumbukumbu Na Jina Lake

Hicho kiti kinaitwa "kiti cha Marimba"
 
Back
Top Bottom