Mliowahi kuagiza Redio za JBL chapchap

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,174
Reaction score
1,493
Kuna hii app ya chapchap ya wabongo unaagiza vitu China kama redio Raba na Vinginevyo

Nilitaka kuagiza HIZI JBL Clip 4 Kwa Moja Wanauza 34000 lakini unatakiwa uchukuwa je HIZI Redio ni OG ama ni famba

Kwa mlio wahi kutumia hii app mnijuze
 
Vina ubora gani hadi kuuzwa bei ghali hivyo?
Zina achan vp na hz za 10 za chinga?
 
Hakuna jbl ya bei hiyo hapo unakwenda kupata replica ya mchina
 
Huyu jamaa ameishia kujaji Kwa kuziangalia na kuzigusa gusa TU ..Hajazijaribu
Poa hazina expensive Build ya vioo au whatever...au anataka ziwe za gold ndo ajue ni OG?
Lakini function ziko poa...Bass inakita, connection Iko poa.
Huyo jamaa ni hater....Ni sawa na kupondea simu, Kwa kuiangalia dukani kwenye meza ya kioo bila kuiwasha.
 
Mkuu hata JBL wenyewe wamefanya uchambuzi kama wa huyo jamaa...

Vina ubora gani hadi kuuzwa bei ghali hivyo?
Zina achan vp na hz za 10 za chinga?

Mkuu jinyime kwa namna yo yote apate hata hiyo clip 4 hutojuta ni KITU. Ina ubora wa hali ya juu

Haina zile kelele za “the Bluetooth device connected successfully”
Haina ule mlio wa simu ikiita ukiwa umeunga uusikie kwenye hicho ki-JBL

Kubwa kuliko ni WATERPROOF
 
Vina ubora gani hadi kuuzwa bei ghali hivyo?
Zina achan vp na hz za 10 za chinga?

Mkuu jinyime kwa namna yo yote apate hata hiyo clip 4 hutojuta ni KITU. Ina ubora wa hali ya juu

Haina zile kelele za “the Bluetooth device connected successfully”

Haina ule mlio wa simu ikiita ukiwa umeunga uusikie kwenye hicho ki-JBL

Kubwa kuliko ni WATERPROOF
 
Kuna hii app ya chapchap ya wabongo unaagiza vitu China kama redio Raba na Vinginevyo

Nilitaka kuagiza HIZI JBL Clip 4 Kwa Moja Wanauza 34000 lakini unatakiwa uchukuwa je HIZI Redio ni OG ama ni famba

Kwa mlio wahi kutumia hii app mnijuze

Angalia usijechanganywa na unafuu wa bei mtandaoni hiyo COPY ukiangalia hiyo picha kwenye kona juu kulia bei ni Ksh 7.500/- ukiichange ni Tsh 150.000/- na warranty unapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…