Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Habari wana JF,
Kwakweli nimekwama Law School mwaka wa nne huu sasa unaenda. Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja. Mpaka leo linanitesa. Napata michongo ya kazi ila naambiwa kama sina muhuri haitowezekana.
Wakuu mliomaliza aidha first seat au kwa kuchomoa kimeo mlifanyaje wenzangu? Mpaka sasa nimeshachoma takribani milioni 2.5 safari za kwenda na kurudi kufanya supplimentary. Hii ni zaidi ya ada niliyolipa wakati huo. Natoboaje wakuu?
Mwenye mchongo unaoweza kunisaidia nisikae mpweke wa ajira naomba anisaidie. Tuwasiliane kupitia email moderncentury5@gmail.com