Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Nani kakwambia anguko la CHADEMA limeshindikana? Kuanguka kwa chama is a process, mwaka 1995 nani aliamini kuwa NCCR ya Mrema ingeangukia pua? Miaka michache iliyopita nani aliamini kuwa CUF itasambaratika?
It is only a matter of time hasa pale kampuni litakapokataa kubadili uongozi wake wa juu waliojihakikishia kuwa wao ndio wamiliki wa kampuni la CHADEMA.
ADC ni chama kilichokuja kurudisha matumaini ya Watanzania kuhusu mabadiliko ya nchi baada ya vyama vingine vyote vya Upinzani kushindwa kutimiza malengo ya kuwakomboa Watanzania.
Karibuni ADC - Dira ya Mabadiliko, Mkombozi wa Kweli wa Watanzania.
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae aliandika karibu Makala tano hivi zote ni majungu dhidi ya chadema huku akitaka kianzishwe chama kipya.
Japo kuwa lengo lao kuu la Anguko la chadema limeshindikana lakini lengo lao la kuanzishwa vyama vipya limetimia kwani kuna ADC na CCK nahisi wanaweza kwenda hata kugombea Uenyekiti au ukaitibu mkuu huko badala ya kila siku kuamkia kwenye mitandao nakuongea utumbo dhidi ya chadema kwani mmechelewa sana , kugundua kuwa chadema ni chama makini.
Mr vag nal, kuanguka kwa itikadi kunategemea na nini ni msingi wa hiyo itikadi. Huwezi kulinganisha CUF, NCCR na CDM. NCCR ilikuwa ni mlipuko wa ushabiki, chama kilianzishwa na kukurupukiwa na wengi kwa ushabiki wa Mrema mrema mrema. CUF ni mkusanyiko wa watu wenye itikadi ya kidini na sera za kujaribu kubalasisha jambo fulani ambalo wao wanaamini haliko sawa, kilianza na kupigiwa chapuo na kuwa kipenzi cha watu duni wasio na uelewa.
CDM kwa upande mwingine ni genge la wasomi na wanaharakati ambao itikadi yao ni mageuzi. Kwa ulinganifu wa kiitikadi wa vyama hivi huwezi kukadiria anguko linalofanana kwani mawazo ya uasisi wake hayafanani.
Chadema = ni genge la watu wenye malengo kuleta ukombozi kupitia kwa yesu kristo ...ni marafiki wakubwa christian democratic party ya ujerumani..(source of their aspirations)
Naona unamtaja taja mtetezi wenu!Vyama vya nini wewe? sisi tusio na vyama tunataka turuhusiwe kugombea bila chama, msituzinguwe.
Raisi wa 2015 hatoki chama chochote. Tena kama aliwahi kuwa mwanachama wa chama chochote kile hatumchagui. Bora tumchaguwe David Cameron aje kutuongoza huku, kwishnei. Miafrika toka lini ikajuwa kutawala? miongo mtindo mmoja, yenyewe kula, kunywa, kucheza.
Mr vag nal, kuanguka kwa itikadi kunategemea na nini ni msingi wa hiyo itikadi. Huwezi kulinganisha CUF, NCCR na CDM. NCCR ilikuwa ni mlipuko wa ushabiki, chama kilianzishwa na kukurupukiwa na wengi kwa ushabiki wa Mrema mrema mrema. CUF ni mkusanyiko wa watu wenye itikadi ya kidini na sera za kujaribu kubalasisha jambo fulani ambalo wao wanaamini haliko sawa, kilianza na kupigiwa chapuo na kuwa kipenzi cha watu duni wasio na uelewa.
CDM kwa upande mwingine ni genge la wasomi na wanaharakati ambao itikadi yao ni mageuzi. Kwa ulinganifu wa kiitikadi wa vyama hivi huwezi kukadiria anguko linalofanana kwani mawazo ya uasisi wake hayafanani.
CUF academia hao ADCCUF B hiyo baada ya CUF original...wana siasa wameanza kuiga mtindo wa bendi za kizaire
ADC ni chama kilichokuja kurudisha matumaini ya Watanzania kuhusu mabadiliko ya nchi baada ya vyama vingine vyote vya Upinzani kushindwa kutimiza malengo ya kuwakomboa Watanzania.
Karibuni ADC - Dira ya Mabadiliko, Mkombozi wa Kweli wa Watanzania.
Kwa mtindo huo ndo litakuwa mwanzo wa anguko, asilimia kubwa ya Watanzania hawajaenda shule na ndio wapigaji wakubwa wa kura, kwa mtindo huo nadhani CCM itaendelea kukaa madarakani.CDM kwa upande mwingine ni genge
la wasomi na wanaharakati ambao
itikadi yao ni mageuzi.
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae aliandika karibu Makala tano hivi zote ni majungu dhidi ya chadema huku akitaka kianzishwe chama kipya.
Japo kuwa lengo lao kuu la Anguko la chadema limeshindikana lakini lengo lao la kuanzishwa vyama vipya limetimia kwani kuna ADC na CCK nahisi wanaweza kwenda hata kugombea Uenyekiti au ukaitibu mkuu huko badala ya kila siku kuamkia kwenye mitandao nakuongea utumbo dhidi ya chadema kwani mmechelewa sana , kugundua kuwa chadema ni chama makini.
Huyo mwandishi kanjanja anaitwa Mayage S. Mayage
Blah blah blah. Don't you have something new to say? Atleast uchangie kuhusu topic ambayo inahusu chama kipya, ADC!! Ahsante