Mliotabiri kifo cha CHADEMA mpo hapo?

TAMKO LA CHADEMA ni sawa na kutangaza hali ya NJAA nchi nzima.
 
Ni punguani pekee atakqe amini hichi chama cha mbow,sijui hawa nyumbu wamelishwa nini aisee,yaani upuuzi wote huo bado yameng'ang'ana tu.
Kufa kama roho inakuuma watu kuipenda chadema
 
Ngoja tuone october moja. Maana sioni dalili ya Mheshimiwa kukutana na CHADEMA
 
yote umeeleza sawa.
Kinawabunge wa ngapi bungeni???
 
Najiandaa kwa October 1 mpaka turudishe utawala wa sheria nchi hii.
 
Siku zote chama kinachochochea vurugu na kutamka maneno ya ubabe-ubabe hakifai kutawala nchi hata kidogo, wakikabidhiwa nchi wataiendesha kidicteta na kuwaacha wananchi katika hali mbaya mno...nawashangaa wale ambao still wakiendelea kukishabikia chama hiki to now hali yakua kimeonyesha ubaguzi wa hali ya juu mno na kutowathamini viongozi wa ukanda flani...nashindwa kuelewa sijui ni kutoitakia mema nchi hii ama...
 
Kwakweli huku kijijin hata hawaelew chedema kama bado ipo tanzania
Kijiji gani Mkuu? hadi Wasonjo wanaijua nilikuwa huko juzi tu nikashangaa, kwenu Rwanda nini?!!!!!!!!!!!!!!
 
Siasa za akili nyingi nguvu kidogo .
The wall ni mission ya kitaalam sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…