Sasa kwa lunch ya viwavi jeshi huko dodoma mtaelewa nini ?Kwakweli huku kijijin hata hawaelew chedema kama bado ipo tanzania
Chama kiko ICU
Namba 5 iko sahihi sana ! Kwa sasa polisi ni maarufu kuliko ccm .Kupitia operation UKUTA nimegundua yafuatayo.
1/Kumbe chadema kina nguvu kubwa nchi nzima,uthibitisho ni mazoezi ya polisi nchi nzima.
2/Kukamatwa kwa viongozi wa chama maeneo mbali mbali ni ishara kua hiki chama ni kikubwa na kina uongozi imara kila Kona.
3/Kupitia matamko ya vitisho vilivyotolewa na viongozi wa serikali maeneo mbali mbali ni ishara kua chama kipo imara.
4/Ubunifu wa hali ya juu wa viongozi wa CHADEMA kupelekea watu kukosa usingizi.
5/CHADEMA kwa sasa ni chama maarufu kuliko hata CCM kutokana na kutajwa sana katika maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
6/Umoja wa wanachama wa chadema na wafuasi wao ni mkubwa.
6/ Imedhirisha kua bila chama makini kama CHADEMA watawala wanaweza kujisahau.
Kilicho ICU kinawapa shida? na matamko ya kila aina?Chama kiko ICU
huko ambako hata kuvaa nguo hamjawahi chadema waje kufanya nini! huko inabidi waje wamissionati kwanza mstaarabike ndo chadema waje hukoKwakweli huku kijijin hata hawaelew chedema kama bado ipo tanzania
Kupitia operation UKUTA nimegundua yafuatayo.
1/Kumbe chadema kina nguvu kubwa nchi nzima,uthibitisho ni mazoezi ya polisi nchi nzima.
2/Kukamatwa kwa viongozi wa chama maeneo mbali mbali ni ishara kua hiki chama ni kikubwa na kina uongozi imara kila Kona.
3/Kupitia matamko ya vitisho vilivyotolewa na viongozi wa serikali maeneo mbali mbali ni ishara kua chama kipo imara.
4/Ubunifu wa hali ya juu wa viongozi wa CHADEMA kupelekea watu kukosa usingizi.
5/CHADEMA kwa sasa ni chama maarufu kuliko hata CCM kutokana na kutajwa sana katika maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
6/Umoja wa wanachama wa chadema na wafuasi wao ni mkubwa.
6/ Imedhirisha kua bila chama makini kama CHADEMA watawala wanaweza kujisahau.
Chadema hakifi leo wala mtondo goooo kwa sisi tunaozunguka hadi vijijini ambako sasa wana umeme wa REA huwadanganyi kitu na wanakwambia kweli Chadema wana akili
Hongera, fedha za vurugu yote hiyo mmepata wapi?Kupitia operation UKUTA nimegundua yafuatayo.
1/Kumbe chadema kina nguvu kubwa nchi nzima,uthibitisho ni mazoezi ya polisi nchi nzima.
2/Kukamatwa kwa viongozi wa chama maeneo mbali mbali ni ishara kua hiki chama ni kikubwa na kina uongozi imara kila Kona.
3/Kupitia matamko ya vitisho vilivyotolewa na viongozi wa serikali maeneo mbali mbali ni ishara kua chama kipo imara.
4/Ubunifu wa hali ya juu wa viongozi wa CHADEMA kupelekea watu kukosa usingizi.
5/CHADEMA kwa sasa ni chama maarufu kuliko hata CCM kutokana na kutajwa sana katika maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
6/Umoja wa wanachama wa chadema na wafuasi wao ni mkubwa.
6/ Imedhirisha kua bila chama makini kama CHADEMA watawala wanaweza kujisahau.
You justify your failure by excuses. So pathetic. What was done by the government was to deal with a deadly virus that CDM wanted to propagate as a way of rejuvenating itself but in essence, CDM is damn dead. What you want people to believe as a show of strength are just the last kicks of a dying horse.Kupitia operation UKUTA nimegundua yafuatayo.
1/Kumbe chadema kina nguvu kubwa nchi nzima,uthibitisho ni mazoezi ya polisi nchi nzima.
2/Kukamatwa kwa viongozi wa chama maeneo mbali mbali ni ishara kua hiki chama ni kikubwa na kina uongozi imara kila Kona.
3/Kupitia matamko ya vitisho vilivyotolewa na viongozi wa serikali maeneo mbali mbali ni ishara kua chama kipo imara.
4/Ubunifu wa hali ya juu wa viongozi wa CHADEMA kupelekea watu kukosa usingizi.
5/CHADEMA kwa sasa ni chama maarufu kuliko hata CCM kutokana na kutajwa sana katika maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
6/Umoja wa wanachama wa chadema na wafuasi wao ni mkubwa.
6/ Imedhirisha kua bila chama makini kama CHADEMA watawala wanaweza kujisahau.
Hey guy! Who told you so? You are just try to hide the known fact, but message sent to the targeted mean and we hv seen its impact. Note that,1st Oct is around the margin.You justify your failure by excuses. So pathetic. What was done by the government was to deal with a deadly virus that CDM wanted to propagate as a way of rejuvenating itself but in essence, CDM is damn dead. What you want people to believe as a show of strength are just the last kicks of a dying horse.