Mliosoma vyema Communication Skills na Public Speaking hii style ya Kuongea ya Abdul Nondo wa ACT-Wazalendo inaitwaje?

Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Hizo tabia hazihusu communication skills,bali ni issues za tabia zake binafsi,na anadhihirisha kuwa ni mgonjwa atafute mtaalamu wa saikolojia amshauri
 
Teh teh yani ukiwa unajua muandiko ya member humu ndani hujiulizi mara mbili huu muandiko ni wa nani

Abdul Nondo nae mchumia tumbo tu kama wachumia tumbo wengine. Anapiga piga makelele na kufoka ili aonekane atupiwe kipande cha mnofu na yeye. Hali mbaya hadi alijiteka akaenda kujificha Iringa kwa demu wake unafanya mchezo nini
Sisi wote ni wachumia tumbo tu.
 
Kwa speed ya Nondo nina hakika atapata ulaji soon. Ccm ikiona mtu ni mzungumzaji kisha awe anaishambulia serikali mara kwa mara, ni rahisi sana kuvutwa na ccm, na Nondo nadhani kashaujua udhaifu huu hivyo anataka kutokea hapo hapo. Hapa simaanishi kuwa Nondo ni mwanasiasa mahiri, bali najua udhaifu wa ccm kwa watu wa aina ya siasa za Nondo.
Mbona hata we we ni unabwabwaja saana hapa mitandaoni, mbona mpaka leo CCM hawajakufikilia ata ubarozi wa mtaa wenuuu?? Au huwa umejaa pumba tupuu??
 
Ningetaka siasa za vyeo ningeshapata, kwa bahati mbaya mimi napenda siasa kwa hobby, na sio kunitoa kimaisha maana niko vizuri.
 
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Mnapenda kusikiliza watoto waliochanganyikiwa hata kabla hawajaanza rika la ujana-uzee. Acha kulalamika. Unapataje muda wa kumsikiliza mtu wa namna hii?
 
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Hahahaaaa yaani Nondo? 😁😁😁😁
 
Inaitwa haranguing style. Ilijengwa na Karl Heinz Goebbels katibu mkuu wa Hitler. Mwangalie tundulissu anavyoongea, mlinganishe na Hitler, copyright.
 
Msisahau kuwa ni Muha huyo! Muha anaweza kubishana na behewa zima la 3rd class tokea Tabora hadi Kigoma peke yake bila hata kuomba maji ya kunywa
 
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....

1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4. Kutotulia katika Kiti ambako kuna muda mwingine huwa hata anakaribia kutaka Kuanguka.
5. Kuongea huku akiing'ata Kalamu ( Peni ) yake ambako kuna Siku alitaka Kujisahau na Kuimeza.
Chadema Wana shida sana
 
Back
Top Bottom