Mliosema anaupiga mwingi, ngapi ngapi huko?

Kaupiga mwingi mpaka ametoka nje ya uwanja
 

Tuko vizuri kuliko wakati mwingine wowote:

Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?
 
Mama hana shida shida ipo kwenu nini wapinzani wa nchi hii hamjui mnataka nini, JPM pamoja na kwamba alitekeleza karibu asilimia 90 yaliyokuwa kwenye ilani yenu shukrani yake ikawa nikumwagia matusi, amekuja mama tena mnaanza mlaumu sasa nyie mnatak nini?
 
Wamemtelekeza mwenye kiti akitoka atamkuta lisu ndio mwenye kiti kamili, na ndio maana anakomaa mwenyekiti abaki ndani iliafanye michakatoyake ya kuwa mwenyekiti kamili.

Tundu anapenda uongozi sanayule, mwenyekiti ajiangalie sana akitoka jina jinatu ndio litambeba,mamvomengine yote atakuwa kama Lipumba tu.
 
Mashimba, Dotto, Tax, Mabula, Katambi nk.
Sukuma gang tupewe nin tena, gunia la chawa au?
Na ww acha kuleta ulaghai unataka kupiga propaganda hili neno sukuma gang mmekuwa mkilitumia katika mazingira tofautifauti mkibanwa mnasema hatumanishi wasukuma acheni kuchukulia jamii nyingine kama hazijitambui,Tanzania ni muhimu zaidi kuliko haya makabila yetu.Tukemeeni watu wanaotaka kutugawa Kwa uchu wa madaraka.
 
Kuupiga mwingi:๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kwenye kampeni๐Ÿ‘‡
Your browser is not able to display this video.
Baada ya kuingia Ikulu๐Ÿ‘‡๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 
SUKUMA GANG ndio Tanzania.
 
Sema Rais mwngo, mwizi na muuaji kuwahi kutokea katika Taifa hili. Na kwa tabia hizo Mungu ameipenda Tanzania akamtwaa na kumpeleka jehanam. Rot in hell Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ