Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Mama anaupiga mwingi sana. Hata Bashite anajua asiyempenda kaja....NapeNina swali kwa wale anti 5th Regime ambao baada tu ya kumpoteza raisi wa aina yake,turufu ya kweli kupata kutokea toka kuasisiwa kwa taifa hili.
Lile kundi ambalo mlikuwa mkishabikia kuwa mama anaupiga mwingi vipi hali inakwendaje huko. Naombeni mtupatie mrejesho je, bado anaupiga mwingi?
Wakikujibu, nitag....tutaelewana tu baadaeNina swali kwa wale anti 5th Regime ambao baada tu ya kumpoteza raisi wa aina yake,turufu ya kweli kupata kutokea toka kuasisiwa kwa taifa hili.
Lile kundi ambalo mlikuwa mkishabikia kuwa mama anaupiga mwingi vipi hali inakwendaje huko. Naombeni mtupatie mrejesho je, bado anaupiga mwingi?
Ha! Ha! Ha! sasa hivi ni anabutua butua tuuNina swali kwa wale anti 5th Regime ambao baada tu ya kumpoteza raisi wa aina yake,turufu ya kweli kupata kutokea toka kuasisiwa kwa taifa hili.
Lile kundi ambalo mlikuwa mkishabikia kuwa mama anaupiga mwingi vipi hali inakwendaje huko. Naombeni mtupatie mrejesho je, bado anaupiga mwingi?
Siku akiwapigia magoti wanyonge ukuje utoe ushahidiDakika ya 34,mama 5 wanyonge 0
Kwani Mama ana shida gani?Nina swali kwa wale anti 5th Regime ambao baada tu ya kumpoteza raisi wa aina yake,turufu ya kweli kupata kutokea toka kuasisiwa kwa taifa hili.
Lile kundi ambalo mlikuwa mkishabikia kuwa mama anaupiga mwingi vipi hali inakwendaje huko. Naombeni mtupatie mrejesho je, bado anaupiga mwingi?
Mashimba, Dotto, Tax, Mabula, Katambi nk.Ukweli mchungu ni kwamba sukuma gang ndio wanaoumia sn kwenye hii panga pangua ya mama
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
KatambiMashimba, Dotto, Tax, Mabula nk.
Sukuma gang tupewe nin tena, gunia la chawa au?
Wanakuweka madarakani, wanakutoa madarakani halafu wanajiweka Madarakani Waite kwa Lugha ya PolepoleNina swali kwa wale anti 5th Regime ambao baada tu ya kumpoteza raisi wa aina yake,turufu ya kweli kupata kutokea toka kuasisiwa kwa taifa hili.
Lile kundi ambalo mlikuwa mkishabikia kuwa mama anaupiga mwingi vipi hali inakwendaje huko. Naombeni mtupatie mrejesho je, bado anaupiga mwingi?
Hapa Tanzania kuwa mnyonge ni uamuzi binafsi wa mtu.Siku akiwapigia magoti wanyonge ukuje utoe ushahidi
Jamaa hawana Sera tena ni kufuata ngoma inavyolia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha ni hopeless!
Juzi yakawa yanashangilia mama aliposema ana mkeka mpya sijui yalidhani anateuliwa Lisu, mbowe, sugu na lema?
Samia ana gorofa la makazi ya hao huko Segerea!!! Wathubutu tu watapewa kazi ya kukamua kuku maziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha ni hopeless!
Juzi yakawa yanashangilia mama aliposema ana mkeka mpya sijui yalidhani anateuliwa Lisu, mbowe, sugu na lema?