Bunju sehemu gani Mkuu??Kama wewe ni graduate wa CPA au umemsindikiza ndugu, jamaa rafiki au jirani au mzamiaji kama mimi sio mbaya tukionana hata kama wewe ni wale "wasiojulikana" its fine nikikujua maana hata siwaogopaji maana mimi pia sijulikani
Lets have mingle and fun.View attachment 1960012
View attachment 1960022
Ulitaka wasome nin?Hivi kuna vijana bado wanasomaga CPA?
Zamani: BBC NABOCE, NAD I, NAD II
Sayansi ya fedha siyo huo ukarani!Ulitaka wasome nin?
Wasalimie wachaga wote hapo hizo zilikuwa kozi zetu tuliletewa na Uttoh na mzee Mengi!Njoo Mekuu
Nikalibishe mzee nipo njian natokea hapoKuanzia saa 7 ni gambe tuView attachment 1960027View attachment 1960026
Nimevaa suti ya kijivu. Nimekuona unahangaika na JFAcha masihara jamaa