Wambieni rafiki zenu wawachukulie! and by the way hongera wewe unapata mshahara! maana wengine salary slip zao hazina kitu ni madeni! Hivyo hiyo miezi miwili tutamshukuru Mungu maana makato ya mikopo ya Banks na SACCOSS yatasimama kwa muda. japo ni kuhairisha deni! ata ikiwa mwezi gani poa! huna habari kwamba yawezekana wewe ukawa na cheque namba mbili bila wewe kujua? huo mshahara wa cheque No. Nyingine wanachukua wajanje! niulize siku nyingine nikupatie ushahidi! WEWE Bongo watu hawajalala ni wewe tu!!!