Mliopo bongo mtujuze linakuweje hili la mishahara??

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
266
Tumesikia mishahara serikali ikisema kwamba mishahara itatolewa dirishani kwa muda wa miezi miwili ili kubaini wafanyakazi hewa sasa swali langu kuna watu tunafamilia na tupo nje ya nchi kimasomo familia zetu zinategemea mshahara huohuo!!!!swali ina maana tunatakiwa kupanda ndege kurudi tuje kuchukua madirishani huo mshahara?swali la pili ni miezi ipi hiyo miwili ambayo serikali imepanga kugawia madirishani huo mshahara?tunaogopa mishahara yetu isije ikachakachuliwa tena!!!!maana bongo sasa hivi hapaeleweki kabisa kila siku linazuka jipya na haijulikani kama mtu haupo mshahara wako utapelekwa wapi na kazini uliomba ruhusa hukutoroka!kikubwa ni familia zetu zitaishije!wenyewe tunaweza ishi hata kwa kubeba boksi
 
Wambieni rafiki zenu wawachukulie! and by the way hongera wewe unapata mshahara! maana wengine salary slip zao hazina kitu ni madeni! Hivyo hiyo miezi miwili tutamshukuru Mungu maana makato ya mikopo ya Banks na SACCOSS yatasimama kwa muda. japo ni kuhairisha deni! ata ikiwa mwezi gani poa! huna habari kwamba yawezekana wewe ukawa na cheque namba mbili bila wewe kujua? huo mshahara wa cheque No. Nyingine wanachukua wajanje! niulize siku nyingine nikupatie ushahidi! WEWE Bongo watu hawajalala ni wewe tu!!!
 
Mwanangu noma sana yaani bongo sasa imefikia huko!!mbona naona kama nchi imeshafilisika sasa kitabaki nini jamani!!!mwana au unanitisha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom