mliopitia boarding hii haikua form one ila bomu 1

mliopitia boarding hii haikua form one ila bomu 1

Kudadadeki hii kitu inanikumbusha machungu aisee kuna **** mmoja mwana wakati naanza F1 alikuwa alinipa wakati mgumu sana yule mshenzi. Jamaa alikuwa anavuta fegi kwa hiyo niliporipoti tu shule akaniwahi dogo lete masimbi ya msasa wakati huo hata hiyo misemo masimbi na msasa sijui ni kitu gani..bado nashangaa akanibonyeza bonge la kwenzi....ah! hii kitu mbaya kabisa. yaani f1 yote nilikuwa mhanga wa kum-supply msasa ( Sigara sports)....
kaka unamukumbuka jina lake ili tumtafute? hata mimi ilinitokea kaka, mpaka leo nimeapa nikikutana nae ni vita tu. mimi ilinitokea mwanza shule ya kinango kama miaka 16 iliyopita. but i still have a bad memory.
 
Boding ni zaidi ya shule kwani mtu unajifunza mengi mno yakiwemo mema na mabaya
 
Minaki enzi hizo around 1995 kuna vidada vya kisarawe vilikuja shule usiku kusolve pepa kwa mwalimu shehoza jemba za mirambo zikawachenjia wakawavua vyupi vyao na kuwabaka then wakachukua vyupi na kutundika bafuni
 
Kudadadeki hii kitu inanikumbusha machungu aisee kuna **** mmoja mwana wakati naanza F1 alikuwa alinipa wakati mgumu sana yule mshenzi. Jamaa alikuwa anavuta fegi kwa hiyo niliporipoti tu shule akaniwahi dogo lete masimbi ya msasa wakati huo hata hiyo misemo masimbi na msasa sijui ni kitu gani..bado nashangaa akanibonyeza bonge la kwenzi....ah! hii kitu mbaya kabisa. yaani f1 yote nilikuwa mhanga wa kum-supply msasa ( Sigara sports)....
Nkwenzi Puuu!!! Pole sana! Mie nakumbuka nilikuwa fomu one nikabishana na jamaa wa form IV yaani jamaa alinipiga kibao nikajikuta nipo chini tu, baadaye nikaamuka nikajipangusa na kuondoka!
 
nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia kaninunulie maandazi,sabuni ya kipande na ya unga,na chenji irudi daah

Huyo jamaa anayemtesa huyo dogo anachokifanya hapo ndio alichopewa na ile mijamaa iliyokwisha ku-graduate wakati anaingia hiyo shule. Na huyo jamaa akisha madaraka baadaye na huyo jamaa aliyeweka mguu wake kwenye shingo ya huyo dogo akawa akawa chini yake muziki wake hautakuwa wa kawaida labda awe Mkristo mweney imani ya matendo! Halafu ile mingine inaangalia tu, mimi baada ya kuwa mwenyeji nilikuwa mtetezi wa wageni kwa kutoa kisago cha nguvu kwa wenyeji wote ambao walikuwa wanatesa wageni!!!
 
Back
Top Bottom