Mtu alikuwa waziri leo anasema yeye ni mchimbaji mdogo..ingawa lawama zake ni halali, si sawa na haikuwa sahihi kushusha hadhi hifadhi ya kigosi iliyopandishwa hadhi miaka minne nyuma..ni dhahiri kabisa pasina shaka ndani ya serikali na hasa tiss kuna watu wabaya wenye tamaa ya uporaji rasilimali za nchi, walishaingia humo hifadhini kigosi siku nyingi na kwa kupunguza kelele wakashawishi eneo dogo litangazwe vitalu watu wengine waombe..wala hakuna dhahabu huko walikotangaza..inajulikana wazi baadhi ya wastaafu(high ranking officials wa jeshi) familia zao wanachimba dhahabu hifadhi ya kigosi..nje ya maeneo yaliyotangazwa..hii ni homework kwa Rais mpya kurudisha eneo hili la kigosi ili liendelee kuwa hifadhi na walioshawishi uporaji kwa mgongo wa uchimbaji mdogo wachukuliwe hatua inavyopaswa!