Mliolipwa kipunguni msidanganyike kulipa wakili yoyote

Mliolipwa kipunguni msidanganyike kulipa wakili yoyote

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Hongereni mliolipwa kipunguni

Mda ukifika na nyie mliobakia endeleen kumwamini Mungu

Kifupi tu kumezuka fomu za ajabu ajabu zikisambazwa na
Wajumbe mtoee 1.3mil kila anaelipwa

Naomba kuwajulisha msijibu huo upuuzi wala kujadiliana nao n utapeli cheni yake n ndefu kwa wajinga mtajaa kwa walioenda shule na hasa wazee waliobaki na watoto wasiojielewa.......

Ukiwaona. Piga namba za staki shari mda wowote

Kataa utapeli......

Sisi walileta hizo barua malipo ya kwanza na kutishia kutupeleka mahakaman baada ya siku saba hahahaa

Tukavunja nyumba toa vinavyotoka ondoa wapangaji wakapiga simu tukawambia kuna magofu ya tofali kaokote ni mkauzee

Hawajarudi tenaaaaa na tenaaa....

Mliobakiaa amkeni hizi channel n za wahuni wachache kuwadaka wajinga jingaaa

Ati wao ndio.walisaidia kuanza malipo ya serikali


Kon....too zaooo... watu wamwesotaa
Taa
mpaka dodoma...wao wanazoom

Wapambane na halizaooo

Aldbest
 
Back
Top Bottom