yan bro kiukweli inauma sana sana yan inauma sana jaman roho inauma kiukwel
yan bro kiukweli inauma sana sana yan inauma sana jaman roho inauma kiukwel
Tatizo ni kwamba nchi yetu inajua kupanga mambo lakini kutekeleza ni shida tu, maskini hana haki kwenye hii nchi. Angalia waliokosa mikopo ni watoto wa maskini na waliopata asilimia 100 ni watoto wa wa mapapa. Kuungana ni muhimu ila nafikiri ifike mahali hata wale waliopata mikopo waache kuingia darasani mpaka wenzao watakapopatiwa haki yao ya msingi ikiwezekana hii movement ipelekwe hata kwa wananchi watu waingie mtaani kuishinikiza nchi.
Hivi kwani ofic zao ziko wapi hawa watu HESLB?!!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Your argues gats alot of logics..ifike pahala tusiogope vyombo vya dora tuko wengi kushinda vyombo vya dora hilo weka kichwani tukiamua kupigana nao hawafui hata dafu..pili katika vita ya haki ushindi ni lazima tukiogopa imekula kwetu tunalipa kodi kila siku iweje waseme serikali haina hela wakisimamia bandari vizuri inaweza lisha nchi tano.tena tutumie mafunzo ya JKT si watufundisha wao..katika umoja hakuna linaloshindikana..
Msijali wadau taarifa sahihi mwishoni mwa wiki au mwanzoni mwa wiki majina ya nyongeza walio kosa mkopo yatatoka tena msijali ukweli makini na net muhimu sana wadau