Huyu si wakufokewa tu bali kuchapwa bakora, yeye anafikiri mafuriko yataishia kwenye nyumba za watu mabondeni tu, bila kujua mafuriko yanaharibu mazao mashambani na kuhatarisha usalama wa chakula nchini. Huyu ni wakuchapa bakora tu.