Mkeo atakuwa /atakuja kuwa na Bahati sanaMapenzi ya dhat huficha madhaifu ya mwenzako
Ya kama ww unampenda mtu flan hata kama uyo mtu ni dhaifu kias gan lazma utampenda tuu kwa sabanu hayo ndio mapenz ya dhat
Mambo mengine yanayoteka katika ndoa ni uvumilivu tuuu na uthubutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupenda sana tena sana sana na sana Shemeji yangu mwaaaaaahhMkeo atakuwa /atakuwa an Bahati sana
Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta...POVU RUKSA WAKUU
ndio maana wazungu wanaruhuusu watoto wao wakifika miaka 16 kuwa na GF na BF,muanze kuzoeana mapema,lkn Bongo mtu una 35 unapata mwanamke ana 30 yaani lazima kusumbuana .Mwanamke kuna vitu hutakiwi kufanya kujichokonoa puani na vidole, sijui unakula huku unaongea,kutafuna vizuri (table manners ni muhimu sana kwa mtoto wa kike),kuwa mbishi,kutema tema mate njiani nk.Kama huwezi kuvumilia inabidi uwe unamwambia kila mara,yaani ukimwambia kitu mara 10 hasipobadilika huyo kimbia babu.
MTOTO WA KIKE UNATAFUNA KAMA JENERETA?,KWACHA KWACHA KWACHA KWACHA KWACHA KWACHA.
Acha nikutafutie kaugali hapa na Sumni...
Ah ah ah ah ah ah rosti vzr nyama ya mbwaAcha nikutafutie kaugali hapa na Sumni...
Mkuu wakati wanakutana sikuwepo wala sijawahi wauliza, kwa hiyo siwezi kufahamu.acha ujinga mfano hapo nyumbani kwenu Baba na mama yako wanaishije hadi umazaliwa wewe acha polojo mashart kama mganga wa kienyeji
Sent using Jamii Forums mobile app