Sasa tufanyeje?? Tume huru mliikataa?? Mnyika alipambana kuhusu minimal reforms kwa ajili ya uchaguzi mkambana pia?? Tufanyeje?? Tususe??Mnashiriki Uchaguzi na kutangaz Mbwmbwe za Ushindi mkijua Tume si huru lakin Mkigaragazwa mnasingizia Tume si huru
Sasa tufanyeje?? Tume huru mliikataa?? Mnyika alipambana kuhusu minimal reforms kwa ajili ya uchaguzi mkambana pia?? Tufanyeje?? Tususe??
Mara zote huwa tunashiriki tukiamini katika nguvu ya umma sasa ukiona mpinzani anashiriki anategemea jinsi atakavyolinda kura zake zisiibiwe ndio itadetermine kma anashinda ama lah.
So tukishangilia sio kwa kuwa tume imetenda haki la hasha ila kwakuwa hamjatuibia kura na njama zenu ovu zimeshindwa. Ila mkifanikisha mbinu zenu za kuiba basi hapo ndio utaskia tunasema tume haina haki.
Trust me ccm haipo tayari kumtangaza mpinzani kuwa kashinda katika level yoyote ile..... ndio maajimbo mengi huwa upinznai unashinda kwa nguvu ya umma kutumika mfano kule dar majimbo ya kawe,ukonga,kibamba kote huku nguvu ya umma ilitunika ndio mkaachia majimbo lasihivyo walikuwa tayari kuwapa ushindi wagombea wa chama tawala.
Aisee kuwa ccm kunataka akili ya aina yake mazeeMajimbo yapi sasa CCM walishinda au Mlishindwa kihalali au Majimbo yote ya Ubunge, kata za Udiwani na Urais mlishinda?
Tangu 1995 hakuna Uchaguzi ambao hamdai kuwa Hamkushinda.
Dr. Slaa 2010 mlidai kashinda lakin Jk akaiba kura zake lakini cha kushangaza 2015 Nyie wenyewe Mkamsema kuwa Hana Ubavu wa kushinda hivyo ampishe Lowassa! Kama aliweza kumshinda Rais aliepo Madarakani 2010 kwanini hamkuamini anaweza kumshinda Mgombea Mpya Dr. Pombe
Mkuu simaanishu tulishinda majimbo yote but kuna majimbo tulishindwa kihalali mfano kule singida dodoma na tabora probability ya sisi kushinda ilikuwa ndogo sana maana wananchi bado wamelala hawajaamka kifikra ila kuna baadhi ya maeneo hta wwe ni shahidu upinzani ulishinda baada ya nguvu ya umma kutumika kwa mfano ona kma wenje na kafulila yaani waliporwa nje nje njoo huku mbagala na kule mkuranga kote mlifanya uhuni sasa haya yangekuwa solved na tume huru kuliko nyie kutukejeli eti "TUNADAI TUMESHINDA" ssa si mlete tume huru ndio mtuumbue sio maneno matupu wakati tumeshuhudia watu kma silinde na mdee wamerudi bungeni kwa mbinde kweli na nguvu kubwa ya umma kutumika.Majimbo yapi sasa CCM walishinda au Mlishindwa kihalali au Majimbo yote ya Ubunge, kata za Udiwani na Urais mlishinda?
Tangu 1995 hakuna Uchaguzi ambao hamdai kuwa Hamkushinda.
Dr. Slaa 2010 mlidai kashinda lakin Jk akaiba kura zake lakini cha kushangaza 2015 Nyie wenyewe Mkamsema kuwa Hana Ubavu wa kushinda hivyo ampishe Lowassa! Kama aliweza kumshinda Rais aliepo Madarakani 2010 kwanini hamkuamini anaweza kumshinda Mgombea Mpya Dr. Pombe