Mliohitaji Kubadili Programme Chuoni Mlifanikiwa?

Mliohitaji Kubadili Programme Chuoni Mlifanikiwa?

akilikubwa

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
590
Reaction score
108
Salaam wanajf

Najua kunawatu wengi walipangiwa programme na TCU ambazo hawakuzipenda,Ama walichagua programme priority kwa mategemeo ya kupata Mkopo ili wakifika chuoni kubadili programme waliyopangiwa na TCU chuoni..

swali ni je, kwa faida ya wanaJf wanaotegemea kudahiliwa kipindi hiki cha masomo 2015/2016 tunaomba mtuambie changamoto mlizokumbana nazo na uwezekano wa kubadili programme na athari zake kwenye bodi ya mikopo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom