Ukiona fundi mwashi jisogeze na uwapatie hata tope,wapiga debe jichanganye kufika jioni una hata 10,ukipata 10 kasalule mitumba ya bukubuku zungusha kitaa Kwa buku 2 mbili,omba kibarua Cha kuosha magari,pia salimia watu wakupe hata tuvikazkaz Lazima utatoka.Kutamka neno kudanga Kwa mwanaume ni laana.usirudie tena