Usajili utaendelea mpaka lini wakuu, vp kwa sis tulofanya transfer kuja apo, bado confirmation atujapata tunaweza kuja ivoivo kuona kama jina lipo, tukaendelea na hatua zngine, msaada wakuu

Kwa wale Mliochaguliwa NIT first Year 2015 tuktane hapa Tupeane UPDATES maana nashanga WEBSITE YA CHUO ipo Down More than 3 weeks .Hawa jamaa wapo serious Kweli?