Mliobadili ID....

Hebu turudishie gfsonwin na amu kwanza tuwaone
Weeee mbaba upo..amu nipo sana sema jf application kwa simu yangu inazingua ....nikaitoa.....kuiweka sijaweka hadi leo..naishia kuingia kusoma kupitia chrome bila kuchangia wala kulog in...
 
Nipo asee nawakosa sana
 
Weeee mbaba upo..amu nipo sana sema jf application kwa simu yangu inazingua ....nikaitoa.....kuiweka sijaweka hadi leo..naishia kuingia kusoma kupitia chrome bila kuchangia wala kulog in...
Ati nini......! Upo......., karibuuuu
Ukuje na ile ingine pia
 
Back
Top Bottom