Kasinde aka Kasie nipoooooo nimejaaa teleee kama pishi la mcheleee. Uzi wangu wa kwanza uliweka wazi kuwa aliyekuwa Kasinde sasa ndo Kasie. Libeneke linaendelea.....