Mliobadili ID....

Hahaa haki. Me ndo nipo natafuta dawa ya kumpunga maruhani yake. Kutana naye kwenye 18 zake, macho yatakutokaje
Kuna wakati nampigia mahesabu akiwa na mbebez anakuwaje naishia kucheka tu. Hebu hakikisha hiyo dawa umeipata haraka sana maana kanishinda tabia kwakweli, mara ajifanye hataki mara anataka basi balaa tupu!!
 
Aah mbele ya nanhii unaweza kuta ni mpole huyoo. Me naondoka mwenzangu, ngoja arudi akukute mwenyewe, balaa lake unalijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…