Hahaaaa!! Yaani ukimuangalia mtu unaona kabisaaa ni 38 ila kakomaa kukuambia ni 23, hapo ndipo unajua tu kwakweli hata maharage ni kiungo tu cha kande!!
Wazee sasa kwani wanaleta sred!! mmoja baada ya miezi, si tutaota kutu kwa kusubiri, maisha ndio haya haya bwana we, zama hazifanani tunajichanganya tu hivyo hivyo.