Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 May 8, 2017 #581 Inna said: Acha hizo basi mtakatifu Click to expand... Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja? Kama relat yupo si ungemjuaaa?
Inna said: Acha hizo basi mtakatifu Click to expand... Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja? Kama relat yupo si ungemjuaaa?
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,375 May 8, 2017 #582 Khantwe said: Ndio nani? Click to expand... Habari za leo mzee mwenzangu
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 8, 2017 #583 Huyu naye kabadili ID
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,238 Reaction score 90,415 May 8, 2017 #584 Daby said: Swahiba naomba ufafanuzi hapa. Hili ni file au ni wa upande wetu Cc Asprin Click to expand... Cc @ Asprin
Daby said: Swahiba naomba ufafanuzi hapa. Hili ni file au ni wa upande wetu Cc Asprin Click to expand... Cc @ Asprin
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 8, 2017 #585 Heaven Sent said: Habari za leo mzee mwenzangu Click to expand... Bora mmekuja pamoja.......
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,100 May 8, 2017 #586 Hee siijui acha nipite mbio kama hii mboga inavyowakimbia watu wa iringa Daby said: Wewe mrembo hivi unajua hii ni criminal case! Click to expand...
Hee siijui acha nipite mbio kama hii mboga inavyowakimbia watu wa iringa Daby said: Wewe mrembo hivi unajua hii ni criminal case! Click to expand...
Aventus JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 2,011 Reaction score 2,176 May 8, 2017 #587 Hiv hum kuna kitufe cha kubadil id?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 May 8, 2017 #588 Daby said: That's great... Naamini u mzima kiafya na viungo vyote vya mwili Click to expand... huu ujirani wenu siupendiiii
Daby said: That's great... Naamini u mzima kiafya na viungo vyote vya mwili Click to expand... huu ujirani wenu siupendiiii
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,294 May 8, 2017 #589 joanah said: Haahahh Fuatilia mwandiko Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi Click to expand... ata ww wakwako nimeshaukop niliuona kwenye id moja hiv
joanah said: Haahahh Fuatilia mwandiko Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi Click to expand... ata ww wakwako nimeshaukop niliuona kwenye id moja hiv
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 8, 2017 #590 Saint Ivuga said: Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja? Kama relat yupo si ungemjuaaa? Click to expand...
Saint Ivuga said: Mimi na wewe si tunalala kitanda kimoja? Kama relat yupo si ungemjuaaa? Click to expand...
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,193 May 8, 2017 #591 Numbisa said: Hee siijui acha nipite mbio kama hii mboga inavyowakimbia watu wa iringaView attachment 506384 Click to expand... Haha haya bwana... mimi sinaga camera kwenye simu yangu
Numbisa said: Hee siijui acha nipite mbio kama hii mboga inavyowakimbia watu wa iringaView attachment 506384 Click to expand... Haha haya bwana... mimi sinaga camera kwenye simu yangu
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,193 May 8, 2017 #592 Rich Ze Best said: Hiv hum kuna kitufe cha kubadil id? Click to expand... Kipo ila hadi uvae miwani
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,193 May 8, 2017 #593 Saint Ivuga said: huu ujirani wenu siupendiiii Click to expand... Njoo mhamishe na nyumba yake
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 8, 2017 #594 Daby said: That's great... Naamini u mzima kiafya na viungo vyote vya mwili Click to expand... Namshukuru Mungu vyotee ni vizima
Daby said: That's great... Naamini u mzima kiafya na viungo vyote vya mwili Click to expand... Namshukuru Mungu vyotee ni vizima
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,294 May 8, 2017 #595 Khantwe said: sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error Click to expand... kuna id niliona umeandika jina hili mndali ndanyekolamu sijui ni wewe maana mwandiko wako naujua
Khantwe said: sie tumezeeka shauri zako...kwenye hizo mpya ndo wapo wabichi komaa nao utapata by trial and error Click to expand... kuna id niliona umeandika jina hili mndali ndanyekolamu sijui ni wewe maana mwandiko wako naujua
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,193 May 8, 2017 #596 Inna said: Namshukuru Mungu vyotee ni vizima Click to expand... Nikajua kuna kimelegea tuje tusaidizane kukinyoosha siunajua ujirani wema bwana
Inna said: Namshukuru Mungu vyotee ni vizima Click to expand... Nikajua kuna kimelegea tuje tusaidizane kukinyoosha siunajua ujirani wema bwana
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,375 May 8, 2017 #597 Mwanyasi said: Bora mmekuja pamoja....... Click to expand... Haha me mbona nipo jamani
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,723 Reaction score 129,408 May 8, 2017 Thread starter #598 Mwanyasi said: NASHAURI HII THREAD TUIENDELEZE SIKU ZOTE KAMA ILIVO MAKAPUKU FORUM Click to expand... Ufafanuzi please...
Mwanyasi said: NASHAURI HII THREAD TUIENDELEZE SIKU ZOTE KAMA ILIVO MAKAPUKU FORUM Click to expand... Ufafanuzi please...
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 May 8, 2017 #599 Heaven Sent said: Haha me mbona nipo jamani Click to expand... Sasa mbona nakumiso, au kila siku mpya wewe?
Heaven Sent said: Haha me mbona nipo jamani Click to expand... Sasa mbona nakumiso, au kila siku mpya wewe?
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,723 Reaction score 129,408 May 8, 2017 Thread starter #600 Mwanyasi said: Shikamooo.... Click to expand... Huyo bibi ana majibu kuliko google!